Papa Gregori XIII kama kiongozi wa kiroho wa dunia ya kikatoliki (sehemu kubwa ya Ulaya) alitaka kusahihisha kasoro zilizoonekana katika kalenda ya awali. Tangu zamani za Waroma wa Kale hesabu ya wakati ilifuata Kalenda ya Juliasi iliyoanzishwa na Julius Caesar mwaka 46 KK. Kalenda hii ilikuwa na tatizo la kuwa urefu wa mwaka wake ulipita muda kamili ya mwaka wa jua kwa dakika 11 na sekondi 14 yaani mwaka wa kalenda hii ilikuwa mrefu mno muda wa dakika 11 kila mwaka. Kosa lilikuwa ndogo mwanzoni lakini lilizidi kuongezeka.
Kalenda ya Julien ilindikwa mwaka gani?
Ground Truth Answers: 46 KK46 KK
Prediction: